Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 10
TEHRAN (IQNA) - Kuna masuala mengi yanayohusiana na sayansi yaliyotajwa ndani ya Qur'an Tukufu ambayo yanachukuliwa kuwa muujiza wa Kitabu Kitukufu kwa sababu yalikuwa hayajulikani kwa wanadamu kwa muda mrefu na wanasayansi waliyagundua karne nyingi baadaye.
Habari ID: 3476318 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28